Programme Américain d’Admission des Réfugiés

Kiingiliyo

Mpango wa uhamiaji wa wakimbizi wa Marekani

 • Soma - Mpango wa uhamiaji wa wakimbizi wa Marekani
  Soma
 • Kuona - Mpango wa uhamiaji wa wakimbizi wa Marekani
  Kuona

Maelezo ya Jumla ya USRAP

 • Kusikiya - Maelezo ya Jumla ya USRAP
  Kusikiya

Mapitio ya Mpangilio wa Programme ya Réception na Placement (R&P) ya Marekani

 • Kusikiya - Mapitio ya Mpangilio wa Programme ya Réception na Placement (R&P) ya Marekani
  Kusikiya
 • Kuona - Mapitio ya Mpangilio wa Programme ya Réception na Placement (R&P) ya Marekani
  Kuona
 • Soma - Mapitio ya Mpangilio wa Programme ya Réception na Placement (R&P) ya Marekani
  Soma

Ukiwa wewe ni mukimbizi na hauwezi ku rudi kwa inchi yako ya asili.  Unaweza ruhisiwa ku shimikwa rasmi kwa inchi nyingine. Niiyo wana ita réinstallation.

Kwakushimikwa upya katika inchi nyingine, una takiwa kutikiwa katika mwendo yaku andikwa rasmi.  Inchi zote zinazo itika wakimbizi kwakuwashimika upya wanakuwa na mwendo za réinstallation upya tafauti.

Nchi ya Marekani ni kati ya inchi duniyani zinazo itika wakimbizi kwajili yaku washimika upya. Toka mwaka wa 1980, wa Amerika wamesha pokeya wakimbizi zaidi ya milioni 3 toka duniya nzima kupitiya Programme Américain d’Admission des Réfugiés, ao USRAP. Ili kuchukuliwa na USRAP, lazima uelekezwe na Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) ao kustahiki kuomba kupitia mojawapo ya Direct Access Programs.

Rasilimali na habari zinazotolewa hapa zinaelezea mchakato wa USRAP.

Mara tu unapoanza mchakato wa USRAP, hizi ni vipindi utakayopitia:

Kipindi cha 1: Interview ya uchunguz

Kipindi cha 2: Interview ya USCIS

Kipindi cha 3: Uchunguzi wa kimatibabu

Kipindi cha 4: Orientation Culturelle

Kipindi cha 5: Safari

Kipindi cha 6: Kufika

Kila kesi ya réinstallation ni ya kipekee na muda unaohitajika kukamilisha mchakato wa USRAP inategemea  hali ya kila kesi.

Réinstallation ni chguo inayo patikana tu kwa wakimbizi wachache tu na kumaliza mwendo itaomba wakati na bidii toka kwako piya kwa serkali ya Marekani. Kabla yaku anza mwendo unatakiwa ku hakikisha kuwa tayari kushimikwa Marekani ikiwa una kubaliwa. Kazi zote za réinstallation ni bure. Akuna wakati katika mwendo mtu anaweza kuku omba pesa kwajili ya kazi ya réinstallation. Mtu akiku omba pesa, anaku kulazimisha uombe, ao anaonesha kuwa ana weza saidiya ku harakisha ombi lako au kuku tidha kwa namna yeyote tafazali uijilishe. Utapewa maelezo kuhusu namna yaku julisha udanganyifu kwa interview yako ya kwanza. Kila Centre de Support pour la Réinstallation inaku baki na anuwani moja kwa mtandao isiyo kuwa yako kawaida kwaju julisha udanganyifu.

(Centre d’Appui à la Réinstallation = RSC)

⇠ Kila Kitu kuhusu USRAP