Mafunzo ya Utamaduni kwa Wakimbizi

Kiingiliyo

Mapitio ya Mpangilio wa Programme ya Réception na Placement (R&P) ya Marekani

 • Soma - Mapitio ya Mpangilio wa Programme ya Réception na Placement (R&P) ya Marekani
  Soma
 • Kusikiya - Mapitio ya Mpangilio wa Programme ya Réception na Placement (R&P) ya Marekani
  Kusikiya
 • Kuona - Mapitio ya Mpangilio wa Programme ya Réception na Placement (R&P) ya Marekani
  Kuona

Wakimbizi kujuwa Teknolojia Numerali (Technologie Numérique)

 • Soma - Wakimbizi kujuwa Teknolojia Numerali (Technologie Numérique)
  Soma
 • Kusikiya - Wakimbizi kujuwa Teknolojia Numerali (Technologie Numérique)
  Kusikiya

Orientation Culturelle kabla mwendo na kisha kufika inazo tolewa kwa Centre de Support pour la Réinstallation  na Agence ya Réinstallation kwa kukusaidiya upate ujuzi, na akili na hali unao itwa kupata juu uishw maisha yako Marekani na udjiikalishe vizuri katika jamii mpya.

Utapokeya Orientation Culturelle mara pili:

Orientation Culturelle ya mwanzo inatolewa kwa mufanyakazi aliye funzwa vizuri wa RSC kabla ya kuenda Marekani. Orientation Culturelle iyo  itakuanda kwa réinstallation kwakukupatiya maelezo kuhusu mila na ma sheriya za Marekani. Itakusaidiya ku boresha mangojeo saii na kujua nini utakapo fika. Na tena itaku tayarisha kwa juu ya safari.

Marekani, wafanyakazi, na wanao jitolea kwa  hiari katika ma Agence ya Réinstallation watakukaribisha kwa kukupatia Orientation Culturelle kuhusu jamii  za wa jerani wanazo kuzunguka. Kwa sababu hiyo, Baadhi ya ofisi za uhamisho zinataja Orientation culturelle kama “Muelekeyo yaki jamii”. Orientation Culturelle huu wa kitamaduni utakapatia habari halisi kuhusu matembezi yako, kutafuta kazi, kupata huduma za dharura kama vile matibabu na elimu.

Kabla ya kuhondoka na kisha kufika Orientation Culturelle ni ya muhimu na ita ku saidiya kukaa na jamii katika mazingira mapya. Orientation Culturelle inatolewa na kazi za utafsiri na imepatiwa kwa wakimbizi wapya katika darasa ao, ikiwa ni ya muhimu, kwa mutu moja na moja kwa fasi zengine.

Orientation Culturelle ime undwa kwakuku saidiya kuji tosheleza mwenywe haraka zaidi.

Majifunzo hii yana zungumuziwa wakati wa Orientation Culturelle:

 • Agence ya Réinstallation
 • Kazi
 • Makao
 • Elimu
 • Afya
 • Kazi zaki jamii
 • Haki na Wajibu
 • Kujifunza Kiingereza
 • Matumizi ya pesa
 • Uchukuzi
 • Adaptation kwa Réinstallation
⇠ Kila kitu kuhusu kufundishwa tabiya za Inchi (Orientation Culturelle)